OUR SERVICE CHARTER

MINISTRY OF EDUCATION

MICHUKI TECHNICAL TRAINING INSTITUTE

SERVICE DELIVERY CHARTER     

S/No.

SERVICE

REQUIREMENTS

COST

TIME

 1.

Enquiries

Specify the enquiry

Free

Immediate

 2.

Administrative issues

Specify the issue

Free

Within 10 minutes depending with the nature of the issue.

 3.

Handling of mail

Received mail

Free

3 Days

 4.

Issuance of fees advice note

Admission number

Free

3 Minutes

 5.

Receipt of payments

Bank slip/ Bankers Cheque

Free

2 Minutes

 6.

Admission of students

Admission Letter

Free

Within a day

Completed Registration forms

Free

Copies of Academic Certificates/ Result Slips

 

Copy of National ID and Birth Certificate

Free

Proof of fees payment

As per fees structure

 7.

Procurement of Goods and Services

Adherence to PPAD Act

Specified fees

As stipulated in the advertisement/contract

 8.

Payment to suppliers

Submission of Invoices/ Delivery Note

Free

Within 30 days

 9.

Accommodation

Registered students and availability of boarding space

Applicable Hostel fees

Within a day

 10.

Teaching, assessment and supervision

Registered Students

As per fees structure

As per the academic programme

 11.

Library Services

Registered Students/ Staff

Free

Working hours

 12.

Registration of external exams

Original and copies of relevant documents

As per examination body structure

As per national exam body circular.

Payment of full tuition and examination fee

 13.

Issuance of external result slip and certificates

Duly filled clearance form.

Free

Within a day.

 14.

Attachment and assessment of students

Duly filled attachment information form.

As per fees structure

As per attachment schedule

WE ARE COMMITTED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY

Any service/good rendered that does not conform to the above standards or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service Delivery should be reported to:

The Principal

Michuki Technical Training Institute

Tel: 0725 912313

Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Website: www.michukitech.ac.ke

The commission secretary/CEO

Commission on Administrative Justice ,

2nd floor West End Towers, Waiyaki Way Nairobi

Tel: +254(0)202270000 /2303000

Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

WIZARA YA ELIMU

MICHUKI TECHNICAL TRAINING INSTITUTE

MKATABA WA HUDUMA 

S/No.

HUDUMA

MAHITAJI

BEI YA HUDUMA

MUDA WA KUHUDUMIWA

 1.

Maswali

Eleza hitaji

Hakuna Malipo

Mara moja

 2.

Mambo ya ofisi

Eleza hitaji

Hakuna Malipo

Chini ya dakika 10 kulingana na haja

 3.

Kushughulikia barua (Barua pepe, barua ya posta na zingine)

Barua zilizopokewa

Hakuna Malipo

Siku 3

 4.

Kupewa orodha ya karo

Namba ya usajili

Hakuna Malipo

Dakika 3

 5.

Kupokea malipo

Risiti ya Benki au Hundi

Hakuna Malipo

Dakika 2

 6.

Usajili wa wanafunzi

Barua ya usajili

Hakuna Malipo

Kabla ya siku moja kuisha

Fomu ya usajili iliyojazwa, nakala za vyeti vya kuhitimu

Hakuna Malipo

Nakala za kitambulisho cha kitaifa na cheti cha kuzaliwa

Hakuna Malipo

Ushahidi wa kuwa umelipa karo

Kulingana na orodha ya karo

 7.

Ununuzi wa bidhaa na Huduma

Kulingana na PPAD Act

Gharama iliyoidhinishwa

Kulingana na tangazo au kandarasi

 8.

Kulipa wenye kutoa huduma

Kusalimisha Ankara (Invoices) au rekodi ya utoaji (Delivery Note)

Bila malipo

Kabla ya siku 30 kuisha

 9.

Malazi

Wanafunzi walio sajiliwa na kuwepo kwa nafasi za malazi

Kulingana na gharama iliyoidhinishwa

 

Kabla ya siku 1 kuisha

 10

Kufunza, kutahini na kusimamia wanafunzi

Wanafunzi waliosajiliwa

Kulingana na orodha ya karo

Kulingana na Programu ya masomo

 11.

Huduma za Maktaba

Wanafunzi waliosajiliwa/wafanyi kazi

Bila Malipo

Masaa ya kazi

 12.

Usajili wa mitihani ya kitaifa

Vyeti na nakala za vyeti vya hati zinazohitajika. Kulipa karo na gharama ya mtihani

Kulingana na orodha ya karo na gharama ya mtihani iliyoidhinishwa

Kulingana na barua ya bodi ya mitihani ya kitaifa

13.

Kupeana kwa vyeti   vya kuhitimu

Fomu ya kibali iliojazwa

Bila Malipo

Kabla ya siku moja kuisha

14.

Kiambatanisho cha Viwanda na kutahiniwa kwa wanafunzi

Fomu ya Kiamabatanisho cha Viwanda iliyojazwa

Kulingana na Orodha ya karo

Kulingana na ratiba ya Kiambatanisho cha Viwanda

TUMEJITOLEA KUHUDUMIA WATEJA WETU WOTE KWA NIDHAMU NA UBORA

Huduma au bidhaa yoyote ambayo haiambatani na Chata hii au afisa yeyote ambaye hajitolei kwa nidhamu na ubora anaweza ripotiwa kwa:

Mwalimu Mkuu

Michuki Technical Training Institute

Tel: 0725 912313

Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Website: www.michukitech.ac.ke

The commission secretary/CEO

Commission on Administrative Justice

2nd floor West End Towers, Waiyaki Way Nairobi

Tel: +254(0)202270000 /2303000

Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

For more detailed MICHUKI TTI process documentation and procedure.

CLICK TO DOWNLOAD PDF

CLICK TO DOWNLOAD AND LISTEN TO MICHUKI TTI SERVICE CHARTER AUDIO

University of NairobiICT